Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Maserati wewe ni mtaalam wa lugha sana, nilikuwa nasumbuana na Mwifwa juu ya maana ya jina hili Kwa Kiswahili “Hagenia abyssinica”
Well,hili neno la kiingereza but ni kama jargon sijui nitakuwa sahihi kutumia word jargon. Halitumiki katika matumizi ya kawaida au ya kila siku,except for a given purpose kama ki biologia au fizikia,pengine chemistry. Kikweli hilo term limenipiga chenga na kunifanya nirudi kunako madesa,ni aina ya mti.
 
Back
Top Bottom