Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa muuza sura mzuri sana, tho nilisoma kayumba so advance nilipata chance ya kusoma private,ndio nikiona ni sehemu ya kuipiga msasa ile broken ya kayumba.
Wanao nifahamu niliosoma nao shule moja,wananijua vithuri thanaa[emoji12] .
[emoji85] hapana..
Tuliochukua language advance sio mageni haya,pengine wa syllabus za siku hizi ndio hawana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] vina sumbua hivi wakati wa kuthoma tho..
Hatari hatari [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sie tulikuwa wale wa mavitabu makubwa makubwa... yaani vile vyenu vinaingia mara 3 [emoji91][emoji91]
Yaani nampenda shishi jamani,kujaribu ndio kuweza. Mie since form one Niko na you you kibao yaani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shishi hawezi "ngeli" Maserati nihatari uliona shishi alivyo chapia pale alijidai kuongea kingeleza akachapia watu wote kicheko [Emoji1][emoji1][Emoji1][emoji1][Emoji1][emoji1]
Hatari hatari [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndio mama chacha [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Baba chacha katika ubora wako
Sio bureItakuwa amesoma shule za private maana private wanafundisha sana ngeli"
Voyage ni neno linalotumika katika lugha ya kiingereza lenye maana ya safari.Voyage sio neno la kiingereza mkuu
I am not speaking about kutumia,it's about origin ake jombaa,again hilo sio neno la kiingereza ni kilatini na kifaransa cha zamani sana,lakini limekuwa borrowed into kiingereza na kuleta maana ile ile iliyo kusudiwa,hata hiyo link yako ukiisoma vizuri inaonyesha imekuwa borrowed na origin ake. Kwa mfano neno safari linatumika kiingereza but sio la kiingereza. Yaani hata kuifikiria Bon voyage hujaifikiria chalii angu?
Maneno mengi ya kizungu yameazimwa kutoka lugha nyingine. Over 60 percent of all English words have Greek or Latin roots. In the vocabulary of the sciences and technology, the figure rises to over 90 percent. About 10 percent of the Latin vocabulary has found its way directly into English without an intermediary (usually French).I am not speaking about kutumia,it's about origin ake jombaa,again hilo sio neno la kiingereza ni kilatini na kifaransa cha zamani sana,lakini limekuwa borrowed into kiingereza na kuleta maana ile ile iliyo kusudiwa,hata hiyo link yako ukiisoma vizuri inaonyesha imekuwa borrowed na origin ake. Kwa mfano neno safari linatumika kiingereza but sio la kiingereza. Yaani hata kuifikiria Bon voyage hujaifikiria chalii angu?
Voyage unalinganisha na neno eat??Maneno mengi ya kizungu yameazimwa kutoka lugha nyingine. Over 60 percent of all English words have Greek or Latin roots. In the vocabulary of the sciences and technology, the figure rises to over 90 percent. About 10 percent of the Latin vocabulary has found its way directly into English without an intermediary (usually French).
Huwezi kusema voyage si neno la kiingereza kwa kuwa origin yake ni kilatin.
Neno shule tutasema si la kiswahili kwa sababu origin yake ni neno la kijerumani schule.
Hapa hatuko kubishana bali ni kuelimishana na kufahamishana, lazima uwe na subira ya kufahamisha na kufahamishwa kwa faida ya wengi.Voyage unalinganisha na neno eat??
OK,pengine umeamua tu kuwa mbishi na sipendagi kubishana vitu ambavyo viko wazi na vinaeleweka. Angalia mjadala wangu na mkuu alieuliza mpaka tufafikia muafaka wa kusema origin yake ni Latin na French..inatumika katika lugha au maneno ya kiingereza pia. Full stop and done.
aaaaahhhhhhhhhhhhhhhAfu hii lugha sijui ni kwanini ukiongea mbele za watu kwapa lazima ziwe chepechepe....
Yaani suala ni dogo sana ambalo unshindwa kukubaliana nalo. Kwamba voyage sawa linatumika katika kiingereza, lakini origin yake sio Brit walah Amer English...Hapa hatuko kubishana bali ni kuelimishana na kufahamishana, lazima uwe na subira ya kufahamisha na kufahamishwa kwa faida ya wengi.
Ni valuValyu
watu na google zao ni kuwaacha tu.Yaani suala ni dogo sana ambalo unshindwa kukubaliana nalo. Kwamba voyage sawa linatumika katika kiingereza, lakini origin yake sio Brit walah Amer English...
Unapokataa hilo ndipo ninapoona unataka ubishi,so I chosen to quit kubishana baki na unachokijua na mimi nitabaki na ninachokijua..