Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Kwa kingereza tunaulizaje hivi, "Wewe ni mtoto wa ngapi kwa familia yenu?"
 
Kwa kiingereza fasaha. Did she cook? Jibu:Yes she did au No she didnt sio lazma kurudia tena neno cook
 
Mara nyingi katika maneno ya kizungu yenye voweli a e katika silabi zake huwa kuna sauti ya "ei" kama vile ate=eit, take=teik, voyage=voyeij, made=meid. cake=keik, spade=speid, n.k.
Nisaidie hili: Solemnly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…