Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Of (tamka kama ov) - ya e.g. mayor of dar-es-salaam (Meya wa dar-es-salaam)
Off (tamka kama of) - hali ya kuzimwa e..g the lights are off (taa zimezimwa)
Jamaa mmoja alibabaisha kiingereza
Akasema open light
 
Hili siyo neno la kiingereza. Ni jina la mchezaji wa zamani wa ManU mwenye asili ya umasaini. Jina lake la kwanza aliitwa Ole.
kumbe Ni Mmaasai?
 
Mi bado nawashangaa wale wanaosema Escudo badala ya scudo
Escobar badala ya scoba
Core wanatamka koa.
Table wanatamka tebo
Cable wanatamka kebo

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Back
Top Bottom