Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

Kukazia hapa namba E af LC 300series zipo nyingi aisee.

....bado yangu inakujaπŸ˜„
 
Kuna G Wagen kadhaa sema personalized number plate
 
Kabaka mada huyo, mleta Uzi ana akili kama mchwa!
Kwenye social media ukipitwa na issue tu ya wiki moja ukirudi unakuta agenda inaendelea bila ku-scroll nyuma unakuwa umeachwa hasa kwa wanaoongea kwa "codes"
 
Gari anazozungumzia ni zile zenye vyoo ndani na zinazobeba zaidi ya watu 60 kwenda Singida, si kila gari ni gari mengine ni manyangarakasha.
 
Kwenye familia yako mmenunua namba E ngapi? Hizo ni dhihaka kwa asilimia 80+ ya watanzania wanaoishi vijijini.
 
Ifike mahali kabla ya mtu kupewa membership ya JF afanyishwe interview,maana sio kwa thread za namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…