Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Lini watu waliacha kununua magari, lini watu waliacha kukesha bar hata bia zipande bei.Ukiacha siasa alichosema Mwigulu alikuwa sahihi, watu hawawezi nunua gari kwa fujo hiv kama hakuna pesa mtaani,
Tazama jinsi namba E inavyokwenda speed, tena sio gari za ovyo, ni Subaru, dualis, outlander, Mazda C5 na nyingine za hivyo