KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Jamani Dina,akikukaza vyuma ndio ikoje mamii?Karembua wapiii??
Mkuu,daah wewe mkali kama radi,hayo mavituz yananipagawisha mimi aisee,yaani kama ya mke wangu mama Temba aka miss Chaga bhana.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mzigo mkubwa mwachie mnyamwezi
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Mkuu,daah wewe mkali kama radi,hayo mavituz yananipagawisha mimi aisee,yaani kama ya mke wangu mama Temba aka miss Chaga bhana.
Mbona hueleweki?Nilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .
kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
Mrebo utaniudhi muda si mrefu ujue,ingawa huwa nakukukubaki sana lakini kwa hilo la Ali Kiba umechemsha wewe.Mi Ali Kiba namkubali mno . -π
Kwa hiyo na wewe unajilengesha au?Sijaelewa watu wanamponda Huyo mwanaume ili iweje, ndo kapendwa huyo.
Dah!!
Binua mchanga hiyoo
Hahahahahahah sasa nikitumia si kila mtu atajua ni mimi lol .Afrodee nitumie pic yako PM niiweke hapa!!
Mrebo utaniudhi muda si mrefu ujue,ingawa huwa nakukukubaki sana lakini kwa hilo la Ali Kiba umechemsha wewe.
Mi Ali Kiba namkubali mno . -π
Basi mrembo naomba unijulishe huo uzuri wake fulani ili nami niujue please?Pole kama nimekukwaza.
Kuna kitu kuhusu Ali Kiba . Yaani anauzuri wake fulani hivi .
Ngabu naomba uniachie Denzi please.maana Valentina umemchukua,Dinazarde umemchukuaau vipi? basi huyu Afro niachie mimi ingawa kafa kwa Ali Kiba.Nami nakukubali mno 'Denzi.
Ile siku itatimia tu....π.
Ngabu naomba uniachie Denzi please.maana Valentina umemchukua,Dinazarde umemchukuaau vipi? basi huyu Afro niachie mimi ingawa kafa kwa Ali Kiba.
Thanks to you American boy,ila huyo Afro anaonesha kazidiwa mananihii yake kwa Ali Kiba au vipi?,ila nitajitahidi tu mazee.Poa poa mazee....chukua kitu hicho.
Basi na wewe mamii njoo huku Pm tafadhali,nina ujumbe wako please uwe mpole na usikilize uitiwalo,kama utaona sio sawa basi unakaa kimya baada ya kupokea ujumbe au siyo?Pole kama nimekukwaza.
Kuna kitu kuhusu Ali Kiba . Yaani anauzuri wake fulani hivi .