Weka picha ya kijana anaevutia

Weka picha ya kijana anaevutia

dd8158436f8c7fd48a0308597e843f7d.jpg
 
Nilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .

kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
Mbona hueleweki?
 
Pole kama nimekukwaza.
Kuna kitu kuhusu Ali Kiba . Yaani anauzuri wake fulani hivi .
Basi na wewe mamii njoo huku Pm tafadhali,nina ujumbe wako please uwe mpole na usikilize uitiwalo,kama utaona sio sawa basi unakaa kimya baada ya kupokea ujumbe au siyo?
 
Back
Top Bottom