Weka picha ya kijana anaevutia

Hivi unavyosema kijana unamaanisha jinsia ya kiume peke yake mkuu?[emoji30]
 
Mie mwanaume akishatoga sikio bhasi na nyege zinaishia, yaani sipendi kabisaaa na mlegezo nasikia kubadilisha na njia ili nisikutane nae.

Yupo ninaempenda ningeweka pic ila nahisi ameoa nikimuona tu daaaahh!
 
Dhoooo aiseeee [HASHTAG]#dinazarde[/HASHTAG] kumbe hzo ndo typ zako kazz ipooo
 
Mie mwanaume akishatoga sikio bhasi na nyege zinaishia, yaani sipendi kabisaaa na mlegezo nasikia kubadilisha na njia ili nisikutane nae.

Yupo ninaempenda ningeweka pic ila nahisi ameoa nikimuona tu daaaahh!
Mchepuko pia unaruhusiwa
 
Hii Post ingekuja enzi zileee when Adam Mubago wa EATV was my crush.
Sijui aliishiaga wapi!
 
duuuuh hii kali yani mwanamke anaejielewa hawezi kumpenda mwanaume kama huyo. huyo anaonekana kabsa si mwanaume kamili
acha kukariri...usione ukadhani..wengine wako kamili yaan ile kamili!!Ebu nisikumalizie yaliyonikuta usichanani
 
hata kama huyo sio mwanaume anaejitambua (gentleman) hivi unaweza kumpeleka mwanaume kama huyo kwa wazazi wako kweli. siku zote usmart si mpaka uvae hereni, mlegezo na mambo mengine ya kipuuzi.
 
Hapo kupelekana nyumbani ndyo mtihani aiseee!!wa kulia usichana labda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…