Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hivi unavyosema kijana unamaanisha jinsia ya kiume peke yake mkuu?[emoji30]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko pia unaruhusiwaMie mwanaume akishatoga sikio bhasi na nyege zinaishia, yaani sipendi kabisaaa na mlegezo nasikia kubadilisha na njia ili nisikutane nae.
Yupo ninaempenda ningeweka pic ila nahisi ameoa nikimuona tu daaaahh!
Hapana mume wa mtu lazima aheshimiweMchepuko pia unaruhusiwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [HASHTAG]#dinarzed[/HASHTAG] saiz yako mwingne huyu hapaaa
acha kukariri...usione ukadhani..wengine wako kamili yaan ile kamili!!Ebu nisikumalizie yaliyonikuta usichananiduuuuh hii kali yani mwanamke anaejielewa hawezi kumpenda mwanaume kama huyo. huyo anaonekana kabsa si mwanaume kamili
Huyu nae anabambia miguu? mwishoni atajambiwa tu.
Jamaa mbona wa kawaida tu,ila kwa kuwa umesema anakuvutia wewe basi sawa.Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
hata kama huyo sio mwanaume anaejitambua (gentleman) hivi unaweza kumpeleka mwanaume kama huyo kwa wazazi wako kweli. siku zote usmart si mpaka uvae hereni, mlegezo na mambo mengine ya kipuuzi.acha kukariri...usione ukadhani..wengine wako kamili yaan ile kamili!!Ebu nisikumalizie yaliyonikuta usichanani
Hahahahahahahahaha na ikitimia nitaandika kitabu kuhusu siku hiyo lol -🙂Nami nakukubali mno 'Denzi.
Ile siku itatimia tu....😛.
Basi mrembo naomba unijulishe huo uzuri wake fulani ili nami niujue please?
huyu ndo mwenyewe
Hapo kupelekana nyumbani ndyo mtihani aiseee!!wa kulia usichana labda!!!hata kama huyo sio mwanaume anaejitambua (gentleman) hivi unaweza kumpeleka mwanaume kama huyo kwa wazazi wako kweli. siku zote usmart si mpaka uvae hereni, mlegezo na mambo mengine ya kipuuzi.
ha ha haaaaaaa
Wana wivu hao[emoji1]Sijaelewa watu wanamponda Huyo mwanaume ili iweje, ndo kapendwa huyo.