Weka picha ya kijana anaevutia

Weka picha ya kijana anaevutia

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo
IMG_20161210_234240.jpg
hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
 
Nilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .

kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
 
Sijaelewa watu wanamponda Huyo mwanaume ili iweje, ndo kapendwa huyo.
 
Back
Top Bottom