KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Thanks bro.Poa poa mazee....chukua kitu hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks bro.Poa poa mazee....chukua kitu hicho.
Hakuna kubakiza mkuu,natafuna halafu yale matope yanayotoka nakaanga pamoja na mayai nakula kwa mkate na blue band au vipi?,bila kusahau mkojo wake nachanganya na orange juice kupata vitamin C.TUACHE UNAFKI HILI RINDA VIPI UNABAKIZA ? 😵
Jinsia gani huyu.?Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
We jamaa lioga sana!Kuua mwanamke hadi A.K 47?je akija simba si utahitaji kombora kabisa?Halafu kwa nini hujiamini kiasi hicho?Wewe mwenyewe unamsifu huyo rafiki yako,kwa nini demu wako naye asijaribu?Wewe unatakiwa upelekwe vitani frontline!Nilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .
kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
Duh!kuna watu sio waoga A47 ya magendo inatunzwa ndani!Nilishakuwaga na xmate wangu alikuwa handsome sana. alikuwa hana jeraha ata la kujikwaa. sasa vidada vya skuli vilikuwa vinampenda sana. kwa kuwa mimi nilikuwa rafiki yake namshauri wakijilenga twende tuka t.mb, alafu unanibakishia mi namalizia. cha ajabu alimukula demu wangu. nilipogundua nilienda kwa mshikaji wangu aliyekuwa dereva wa tz-kongo aniazime AK 47 maana alipata kimagenddo baada ya kumpelekea mcongoman maharrage akampa hiyo bunduki. sasa jamaangu aliporudi home akaificha juu ya dari. nikaenda kumuomba rafiki yangu ile AK 47. jamaa akaninyima ikabidi nimchimbe biti naenda kwa kova. sasa jamaangu akabaa ikabidi akaitupe ile bunduki shamba flani ambayo iliokotwaga na askari (kama mlisikiaga bunduki iliokotwa shambani zamani kidogo 2006) .
kama angenipa ile punduki ningemwaga utumbo wa yule baby face. cha ajabu ata sijui yupo wapi mpaka leo
kweli nyie baadhi yenu aliye waloga kafa!!
Mara ooh sitaki sharobaro, Eti tuta share mapowder ktk dressing Table!! hapo umeweka picha sharobaro Ana rembua kalegeza macho...nywele kachoma sijuhi kalikiti!!
alitaka kufanana na Alex Iwobi.Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee