Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Papuchi wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papuchi wapi
Hv napataje kama hyo kama yupo huku anicheki jamani kuna dili nono wakuuRest in peace mlaliwa
Mkuu mshana nn hicho?
Mweeeeee picha yangu
Mhmhhh ila mwanaume ana vitu vingi behind uhandsome, mara nyingi uzuri unaangaliwa sana sana kwa wanawake,Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
Wamekupa vizuri ee... Basi ukitosheka usisahau kunirudishiaWanipe washanipaa tayariiii
Sema nenoNapita
Ha haa uzuri atajirudisha mwenyewe akinimissNtakuazima tu kurudisha kimoja hapana
Mume mtarajiwa auNavutiwa zaidi na my hubby mume wangu kipenzi tuishi maisha marefu kwenye ndoa yetu love you my husband [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji7]
mvulana mrembo kweliSema neno
naona umeanza mambo yenu ya upareni