Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda warembomvulana mrembo kweli
Mambo ya mashoga hayo, mwanaume anakuvutia? Duu hii ni tz tuuuuMim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
HahahahaNitakunyang'anyaaa, umesahau mimi shemeji yako?
Kwanza ngoja nikamwambie mshua, uje na mshenga ujieleze vizuri
aku, tutakuwa tunagombania dressing tableUnapenda warembo
Handsome jeaku, tutakuwa tunagombania dressing table
ndio wakoje hao, embu kapicha nione mfanoHandsome je
Warembo ni wakike ila kwa wakiume wanawaitaga hvo ndio maana mtoa mada kavutiwa na huyooooo kwa picha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] picha sina aiseendio wakoje hao, embu kapicha nione mfano
tehe tehe teheWarembo ni wakike ila kwa wakiume wanawaitaga hvo ndio maana mtoa mada kavutiwa na huyooooo kwa picha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] picha sina aisee
Wewe c mrembo jaman hebu tuone kapicha kako[emoji125]tehe tehe tehe