Mtafute mbunge wako MsukumaWa darasa la saba tuweke wapi purofaili zetu?
Bosi kuna watu wana elimu na vyeti vizito sana lakini hawako kwenye ajira..shida inaweza kuwa cv zao haziwavutiii waajiri kupata hamu ya kuzisoma...sasa basi katika kuendelea kutafuta ajira nimeona hii pia ni fursa nakuandaliaa proffesional Cv inayomlazimisha muajiri asome kilichopo atake asitake...Duuuh haya bhana CV tena jamiiforum[emoji28][emoji28]