Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status: Job Seeker
Profession: Community Development
Education level: Degree
Age ñ sex: Female,24
Location: Dar es Salaam, Rukwa, Mwanza, Mbeya
Job Seeking: Customer care, Receptionist, Front office, Sales, Call Agent, Matron
 
I am looking for a Finance and Administration Manager

Main responsible is to provide sound financial advice and effective financial management as well as manage the administrative functions of the company. Candidates with experience working with a marketing agency are ideal for this position.

Location: Dar es Salaam

If you are interested and meet the requirements please send your CV to: info@ekihya.co.tz
BEFORE 13th June 2023

Wapambaji fursa hiyo
 
Duuuh haya bhana CV tena jamiiforum[emoji28][emoji28]
Bosi kuna watu wana elimu na vyeti vizito sana lakini hawako kwenye ajira..shida inaweza kuwa cv zao haziwavutiii waajiri kupata hamu ya kuzisoma...sasa basi katika kuendelea kutafuta ajira nimeona hii pia ni fursa nakuandaliaa proffesional Cv inayomlazimisha muajiri asome kilichopo atake asitake...
Nijaribu mkuu unipe ujira wangu.
 
Back
Top Bottom