mshakamshaka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 355
- 647
Proffession: Electrical Engin. Technician
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Radiographer umekosa sehem y kaz kwel??Profession: Radiographer
Experience : Fresh
Education level: Diploma
Location: mwanza
Kwani kiingereza ndio kinafanya kazi au ujuzi na maarifa ya mtu binasfi ?Professional yako au Profession yako? Si ajabu hapo umemaliza chuo kikuu na hicho kichaka cha kiingereza! Unategemea nani hapo atakupa ajira na kiingereza hovyo kama hicho!
Ambao hatujafika degree mwisho o-level hapa sio level yetu
status: Jobless
Proffession: Computer skills with no certs
Experience: 3 yrs
Location: Mwan
Can you swim competently? Na una miaka Mingapi? Plus genderAmbao hatujafika degree mwisho o-level hapa sio level yetu
status: Jobless
Proffession: Computer skills with no certs
Experience: 3 yrs
Location: Mwanza
Oooooh I'm 23 years, gender male BossCan you swim competently? Na una miaka Mingapi? Plus gender
Hujaomba ajira za tamisemiDhumuni:kuomba kazi
Elimu :chuo kikuu kada ya elimu (masomo ya sayansi)
Uzoefu:kufundisha(mwalimu) miaka Zaid ya mitano& upishi
Kwa sasa :MBEYA JIJI.
Asante Sana.
Nimeomba Zaid ya mara nne sasa hivi mkuuHujaomba ajira za tamisemi