Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status: Internship/ Jobseeker
Profession: Environmental Engineer
Education: Bachelor degree in environmental engineering.
Experience: Fresh Graduate.
Location: Mwanza
 
POSITION; INTERNSHIP SEEKER
PROFESSION:ECONOMICS AND FINANCE.
EXPERIENCE: ONE YEAR
EDUCATION: DEGREE OF ECONOMICS AND FINANCE
LOCATION: DAR ES SALAAM
 
Position: Job seeker
Profession: Information Technology
Experience: 2yrs
Education level: Diploma
Location: Dar es salaam
 
Looking for a job.
Sex: male
Education: bachalor degree in community development
Work experience: 2 years
Location: kahama_Shinyanga
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.

Professional yako au Profession yako? Si ajabu hapo umemaliza chuo kikuu na hicho kichaka cha kiingereza! Unategemea nani hapo atakupa ajira na kiingereza hovyo kama hicho!
 
Professional yako au Profession yako? Si ajabu hapo umemaliza chuo kikuu na hicho kichaka cha kiingereza! Unategemea nani hapo atakupa ajira na kiingereza hovyo kama hicho!
Kwani kiingereza ndio kinafanya kazi au ujuzi na maarifa ya mtu binasfi ?

Mbona wachina hawajui English, ila angalia maajabu Yao..

Wewe kilaza sana aiseee
 
Profession : Human Resources Management
Experience : 7 Years
Education Level : Msc HRM
Location : Dodoma
Asanteni sana.
 
Profession : accountancy
Experience : field training
Education Level : ordinary diploma
Location : Geita
Sex: male
Age:22
College: institute of Acconntancy Arush
Asanteni sana.
 
Ambao hatujafika degree mwisho o-level hapa sio level yetu

status: Jobless
Proffession: Computer skills with no certs
Experience: 3 yrs
Location: Mwan

Ambao hatujafika degree mwisho o-level hapa sio level yetu

status: Jobless
Proffession: Computer skills with no certs
Experience: 3 yrs
Location: Mwanza
Can you swim competently? Na una miaka Mingapi? Plus gender
 
JOB SEEKER.
PROFESSION: TEACHER (PRIMARY, O LEVEL AND ADVANCED LEVEL)
SUBJECT: GEOGRAPHY AND ENGLISH LANGUAGE)
EXPERIENCE: 3 YEARS
AVAILABILITY: ANY TIME.
lukoboa@gmail.com.
0693215343
Thank you all.
 
Back
Top Bottom