kingchillo2009
Member
- Sep 25, 2020
- 69
- 88
Ndg tafuta maeneo yanayopaki malori fungu mgahawaWakuu bado nina uhitaji hali mbaya.
Bila shaka umeni quote kimakosa hakuna sehemu nilipo andika mimi ni hotelier....Ndg tafuta maeneo yanayopaki malori fungu mgahawa
Kwasababu pishi litakuwa babumkubwa , uhotelia huo sio mchezo
Wanaume hawahitajiki jamani?Nahitaji mdada wa kuhudumia mgahawani.
Akiwa kigamboni mjimwema ni vizuri zaidi, mgahawa upo hapo mjimwema.
Chakula cha asubuhi mchana na jioni ni ofisini.
Malipo elfu 5 kwa siku.
Wanaweza pata nafasi ila wanaume weengi wanaona haya kuhudumia. Hilo dogoWanaume hawahitajiki jamani?
Umeelewekaa...Wanaweza pata nafasi ila wanaume weengi wanaona haya kuhudumia. Hilo dogo
Kubwa kabisa binti ana mvuto wake kwenye biashara, hili liko wazi kabisa. Akitokea mwanaume mwenye uhitaji tutampa nafasi hata jikoni asaidie kazi za huko.
Chilo si naibu waziri? Kashindwa kufanya jambo?. Na yule chilo mjuaji pale Muhas vipStatus:Job seeker or internship
Education😀egree
Professional: Bachelor of Laws
Gender: MALE
Location: Dar es salaam
Contact: 0678 812 175
Mimi bila bila mpaka leo.Leteni mrejesho wakuu. Mana jf inatoaga Imani mwanzoni kama hujaizoea. wenye ajira zao wapi humu ila wengi mara ya mwisho kuingia hapa ilikuwa mwezi wa pili mwaka Jana.
Aliyewahi kupata kupitia Uzi huu aseme
Mm nauzaga bidhaa zangu huku lakini niliwahi kupata wateja wanne tu miaka yote. This alarming me! Jf Kuna watu uwezo wanao ila very rear to be activeMimi bila bila mpaka leo.
Profession: PharmacyHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.