Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Bro umepigaj hii masters tayar ndani ya age ya 28 mkuu...
Au ulianza shule ukiwa na miaka 3..
Au kuna kutoka diploma mpaka masters

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umri unaruhusu bro? Mimi nilimaliza bachelor nikiwa na 24 kwahiyo ningetaka kuendelea ningekuwa na masters at 26 hivi. Hiyo 28 kachelewa.
 
Status: Job seeker
Profession: (Degree) Community development.
Experience: Call Center Agent (3+years inbound and outbound), Sales (3 months) (ongoing), Project officer 1year, Child care (6months), Animal rescue (regularly).
Location: Dar es salaam
 
Match yako ya leo

Employer: Catholic relief services
Position: Driver
Location: Kigoma

Nenda kwenye website yao
Match yako ya leo

Employer: Catholic relief services
Position: Driver
Location: Kigoma

Screenshot_20230508_234437_Chrome.jpg
Sijaona kitu humu mkuu au sio pemyewe.
 
Back
Top Bottom