Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status: Job sekeer

Education: Diploma in computer science(college dropout)

Skills: Computer application (Ms word, excell, powerpoint), Computer maintanance basically software side (Windows + linux).

Experience: 1 year

Gender: Male

Age: 21 yrs.

Location: Mbeya
 
Wadau profile match hizo
Screenshot_20230510-213957.jpg
 
Logistics officer

Degree holder with 8 years of unemployment.

Dwelling in Mwanza city slums.

Kindly contact me and save my Family.

Guys being jobless is not an easy thing.

Its pain is real
Imefika mkuu,.anza na UDART hapo juu
 
Kwa kuwasaidia piteni mkoa wa pwani na wilaya ya mkuranga (mkoa wa pwani ndo unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi sana) japo mostly ni vya wachina na wahindi lakini kwa kujishikiza sio mbaya jitahidi mfike physically mnaweza kubahatisha naamini katika viwanda 10 ukivitembelea huwez kosa hata kimoja... napendekeza kwenda physically maana hawana strong system ya ajira kama makampuni makubwa mfano TBL au TCC so ukienda physically ni rahisi ukajikuta umeeenda leo kesho umepata kazi.. nafasi ambazo ni preffered sana ni mechanical zote kuanzia welding,fittings, n.k electrical, quality control main kwnye laboratory field..,logistic, HR, environment and safety, operator wa forklift, wheel loder(kijiko), Excavator n.k pia dumper driver au tipper, store, accountat ,sales na machine operator (production machine).

Naamini itawasaidia.
Mkuu apo mkoa wa pwani umesha wahi fanya kazi apo
 
Daah tatizo umbali pia nashindwa nianzie wp huko cna hata ndugu Wala jamaa
Yah hicho ni kipengele... ungekuwa maeneo jirani kama dar ni rahisi kwenda kufanya hustle yaan nakuhakikishia ukianza kuzunguka j3 mpka ijumaa ushapata kazi... nilishafanya kazi viwanda kama vi2 tofaut so naelewa nachomaanisha na hata makazi yangu ya kwnza niliyaanzisha huko... umbali kutoka wilaya ya mkuranga mpka dar es alaam ni km kama 15 tu
 
Ulipaji wao c unaelfeweka kidg mkuu
 
Back
Top Bottom