Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Poa mkuuI know boss just waajiri wengi wanajua technician
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuuI know boss just waajiri wengi wanajua technician
Lakin nmeirekebisha boss asantePoa mkuu
nimekusoma aisee, shukraniSina uhakika zaidi wa tofauti, ila niliwahi kujibiwa hivi nilipowahi kuuliza.
BA in Education( unakuwa hauko flexible na hiyo taaluma)
BA with Education( Unakuwa flexible na hiyo taaluma)
Mf: Unataka kujiendeleza zaidi kimasomo, ukiwa na BA with Education unaweza kusoma mambo mengi tofauti tofauti ila ukiwa na BA in Education utasoma yanayohusiana na taaluma hiyo pekee.
Wanaojua zaidi wataongezea nyama
Kivipi chief.Natafuta ajira mkuuKwa hiyo wee jamaa unaona raha sana kucheza na wafu 🤣🤣🤣🤣
Duh nimechelewa jmnIngia website ya CV people Tanzania walitaka IT kutoka Arusha - Dar es Salaam - Dodoma - Geita - Iringa - Kagera - Katavi
SanaaUna nia njema, linda sana uzi wako wasitue nzi wa kijana
Ni mzuri sanaSanaa
I wonder nimechelewa kuona huu uzi
Yaani watu sijui wakojeMuhimu watu waweke profile zao kupata au kutokupta ni Jambo jingine hta wakipta 10 ktk 200 bdo uzi utakuwa umefanikiwa na lazima ukumbuke hzi profile ztaendlea kubaki hpa so uhitaji ukiwepo ni rahisi kurejea hpa
Hili linatufelisha sana watanzania mkuu inasikitisha sana mtu ana nagate kitu kwa nguvu zote na hana sababu ya msingi, Lets be positive what does it cost to be positive? Shusha profile lets lift each other.Yaani watu sijui wako je
Too much negativity duh....
As if mtoa mada katoa uhakika wa ajira!
Asante ,umemjibu vzr
MzeeProfile
Sex : Male
Education level : Degree
Degree program : Agricultural economics and Agribusiness
Experience : 2 years as Loan officer in Microfinance companies, Data clerk.
Location : Dar es Salaam & Kibaha