Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Sina uhakika zaidi wa tofauti, ila niliwahi kujibiwa hivi nilipowahi kuuliza.

BA in Education( unakuwa hauko flexible na hiyo taaluma)

BA with Education( Unakuwa flexible na hiyo taaluma)

Mf: Unataka kujiendeleza zaidi kimasomo, ukiwa na BA with Education unaweza kusoma mambo mengi tofauti tofauti ila ukiwa na BA in Education utasoma yanayohusiana na taaluma hiyo pekee.

Wanaojua zaidi wataongezea nyama
nimekusoma aisee, shukrani
 
Mm Nipo nje ya mada kidogo
Nimepost profile yangu mwanzo kabisa juu
Niende kwenye mada yangu
Mm nimefanikiwa kuitwa kwenye Usaili worker compensation fund
Job ni compliance officer tunafanyaje interview tareh 20/05 sas nilikuwa naomba Kama kuna mdau ambae alishawah kufanya interview ya compliance officer written kunakuwa na maswali ya aina ipi mfano ata Kama ni organization tofaut na WCF
 
Muhimu watu waweke profile zao kupata au kutokupta ni Jambo jingine hta wakipta 10 ktk 200 bdo uzi utakuwa umefanikiwa na lazima ukumbuke hzi profile ztaendlea kubaki hpa so uhitaji ukiwepo ni rahisi kurejea hpa
Yaani watu sijui wakoje
Too much negativity duh....

As if mtoa mada katoa uhakika wa ajira!
Asante ,umemjibu vzr
 
Yaani watu sijui wako je
Too much negativity duh....

As if mtoa mada katoa uhakika wa ajira!
Asante ,umemjibu vzr
Hili linatufelisha sana watanzania mkuu inasikitisha sana mtu ana nagate kitu kwa nguvu zote na hana sababu ya msingi, Lets be positive what does it cost to be positive? Shusha profile lets lift each other.
 
Nimeona profile nyingi za graduates pia, Ukiwa unaendelea kusaka ajira, ushauri wangu Internship ni kitu muhimu sana ndani ya miaka yako miwili mitatu baada ya kugraduate pia wadau humu wengi wanajua mbinu za kupata internship tusaidiane.
 
Status: Looking for Internship Position

Profession: Agriculture Economics and Business(UDSM)

Experience : Fresh Graduate{Worked on a temporary project as a RESEARCH ASSISTANT}

Education level : Degree

Skills : Proficiency in Ms office, Statistical Software such as STATA and Ms Excel data analysis & Visualization.

Location (currently ): Dar Es Salaam

Ahsante.
 
Profile

Sex : Male

Education level : Degree

Degree program : Agricultural economics and Agribusiness

Experience : 2 years as Loan officer in Microfinance companies, Data clerk.

Location : Dar es Salaam & Kibaha
Mzee

Hebu ni-PM
 
Yaani kwamba mwajiri atatafuta profile ya mtu kwa kuperuzi ukurasa a hadi z? Ni wazo zuri lakini litafanya kazi?
 
Back
Top Bottom