Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status: Internships/Job seeker
Profession: Land survey
Education: Ordinary Diploma in land and Mine survey
Experience: Fresh Graduate
Location: Dodoma
Gender:Male
Thank you
 
Profession: Mtoa Dislike
Experience : 1 month
Education level: 360%
Location: Mtandaoni, JamiiForums.
 
FIELD: GEOLOGIST

EXPERIENCE: 4 years

OTHER SKILLS: HD Machine operator
1.RAB driller(260HP)
2.Diamond driller (60mm)
3.Jack hammer(RB)


Nina fanya pia Consultation kama una eneo/Chimbo lako la madini na unahitaji ushauri wa kijiolojia,uchimbaji na uchenjuaji.

Kama unatafuta leseni ya madini pia ninafanya kwa uzoefu nilionao Tanzania nzima kasoro zanzibar
Oyaa unauzoefu kama diamond driller au offsider...?

Unauwezo wa kuchimba mashimo marefu...?

Vipi upper holes drilling umeshawahi kuchimba..?
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Highest level of Education: Bachelor Degree
Profession: Accounting and Finance
Experience: 6 years
Industries worked: Transportation and Financial institutions
Current location: Kilimanjaro
Ready to be allocated anywhere
 
Thank you for this opportunity:

PROFILE:
Profession: Tourism, Marketing and Hospitality
Experience: 6 Years
Education Level: Bachelor's Degree
Location: Dar es Salaam (Willing to relocate)
 
Status : JOB SEEKER
Profession: Curent Excavator Operator
Experience : 1 year
Education level : Bachelor Degree
Age: 25 years
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi....

Proffession: Teacher (Chemistry with ICT)
Experience : 2 years
Education: Bachelor Degree
Location: Kitunda, Dar es salaam
 
Status:INTERNSHIP/JOB SEEKER
Profession :ACCOUNTANT
Education : barchelor degree in accounting and finance in business sector
Experience : fresh graduate
Location: mbeya mjini
Gender : male
 
Back
Top Bottom