Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona pm umefungaLogistics officer
Degree holder with 8 years of unemployment.
Dwelling in Mwanza city slums.
Kindly contact me and save my Family.
Guys being jobless is not an easy thing.
Its pain is real
Sure but my PM isn't working properly, here is my phone number 0758670364 plz contact meOkay. Can you swim confidently
Umeolewastatus. Job seekers Education level: Degree. Currently location : urambo field: business Administration. Exprience :4 year. 1. Year: store keeper and 3 year as Accountant. Sex: Female
We sema tu hapa hapa mnakula asilimia ngapi ya mshahara na kwa muda wa miezi mingapi?Kuna company inaitwa sokohuru company limited inahusika na kutafutia watu ajira ,,usipate tabu kusambaza CV zako sisi tunakusaidiaa hio kazi!, kwa maelezo zaidi unaeza nitafuta Whatsapp only via number 0623268665 karibuni sana
Hata mie kanishangazaRadiographer umekosa sehem y kaz kwel??
Hello !!Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Hata wakitaka %ya mshahara binafsi nipo tayari kusiwe tu mambo ya kutoa hela ndio ufanyiwe mpangoWe sema tu hapa hapa mnakula asilimia ngapi ya mshahara na kwa muda wa miezi mingapi?