Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Logistics officer

Degree holder with 8 years of unemployment.

Dwelling in Mwanza city slums.

Kindly contact me and save my Family.

Guys being jobless is not an easy thing.

Its pain is real
Mbona pm umefunga
 
status. Job seekers Education level: Degree. Currently location : urambo field: business Administration. Exprience :4 year. 1. Year: store keeper and 3 year as Accountant. Sex: Female
 
Kuna company inaitwa sokohuru company limited inahusika na kutafutia watu ajira ,,usipate tabu kusambaza CV zako sisi tunakusaidiaa hio kazi!, kwa maelezo zaidi unaeza nitafuta Whatsapp only via number 0623268665 karibuni sana
We sema tu hapa hapa mnakula asilimia ngapi ya mshahara na kwa muda wa miezi mingapi?
 
Status: Employee
Education: Bachelor of Education in science with ICT(BED SC ICT)
Profession: Teaching (Chemistry and ICT)
Experience: Two Years with Good computer Skills
Location: KITUNDA- DAR ES SALAAM
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Hello !!

Status .. job seaker
Proffession.. experienced sales
Industry...... Banking/ Microfinance products
Education.. degree in Accounts and Finance
Location... Dar es salaam , flexible to relocate
Availability.. available soon
Contacts: 0624 848004 , email kanjahni@gmail.com
 
Back
Top Bottom