Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa dar unaweza kuja ishi na mshahara wako unahitaji kiasi gani!?Status:Job seeker
Education😀iploma
Professional: Business Administration
Skills: Sales , marketing, housekeeping, cookerly (restaurant jobs etc)
Gender: Female
Location: Tabora now but popote nakuja
Imfikie Mwashambalucas🤪 No namba ya simu.Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Malipo bei kaka...Wanahitajika wahudumu wa kike kwenye kamgahawa,
Eneo ni kigamboni mjimwema.
Anahitajika pia mpishi wa bites, mtaalam haswa kwenye chapati.
Muhitaji atakuja, tutazungumza.Malipo bei kaka...
StHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
bado sijapata wakuuStatus:Job seeker or internship
Education😀egree
Professional: Accounting and finance
Gender: MALE
Location: Arusha
Contact: adrianadrian2716@gmail.com