Nimeona leo tutaje matunda tunayoyapenda zaidi, na tuseme sababu za kuyapenda ili iwe elimu kwa ambao hawajui other side of fruits wonders to our body health.
Binafsi tunda ninalolipenda zaidi ni Tikiti Maji π Yaani huwa nikitoka kwenye mishe mishe zangu mfano kwenye physical exercise including football huwa najisikia powa sana body ina cool, nakuwa very relaxed and hydrated.