Weka tunda unalolipenda hapa, na sababu za kulipenda

Weka tunda unalolipenda hapa, na sababu za kulipenda

Jchris14

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
801
Reaction score
2,057
Wakuu kwema?

Nimeona leo tutaje matunda tunayoyapenda zaidi, na tuseme sababu za kuyapenda ili iwe elimu kwa ambao hawajui other side of fruits wonders to our body health.

Binafsi tunda ninalolipenda zaidi ni Tikiti Maji 🍉 Yaani huwa nikitoka kwenye mishe mishe zangu mfano kwenye physical exercise including football huwa najisikia powa sana body ina cool, nakuwa very relaxed and hydrated.

Uzi tayari wakuu🤝
20250301_214033.jpg
 
Back
Top Bottom