Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Kwanza mimi na watu wa eneo liliokuwa likizungukwa na kambi tulipewa vitu vingi sana,coz hata kambi sisi raia tuliwasaidia sana kuzijenga.
 
Maeneo ya kambi yetu tulkuwa tukiwasaidia kuwachotea maji,kufua nk.Kupitia huo ukaribu kuna watu walilamba shavu mpaka sasaivi ni JWTZ afu ni wengi kinoma pia mimi nlikuwa nacheza timu ya jeshi na washikaji kibao tulpata vitu vingi vya gharama.

Najua siri nyingi za hawa jamaa ila zinazohusiana na kazi yao plz sitazitaja ila lifestyle yao ni noma.Firstly mimi ni mmoja wa wale watu ambao ndugu zao wengi ni JWTZ ingawa mimi skupenda kuwa.

Niliombwa sana njiunge na jeshi hadi baadhi ya gharama za kunpeleka VETA nijifunze gari zikatolewa na hao jamaa ila nilizingua kutokana na ambitioni yangu ya kufanya biashara.

Wansjeshi ni watu pisi sana afu wana utu japo humo ndani wahuni wapo pia,jamaa wana vipaji vya hatari sana,nawakubali miaka buku.[emoji120]
 
Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
Usiseme hivyo mkuu,wanajeshi huwatwanga Polisi tena ngumi za maana pia nimeshuhudia visa vya JWTZ kuwachomoa wenzao Central,hyo kesi alkuja kuiamua mkuu wa Wilaya japo ultoka ushauri tu.Kuna muda unakuta mkuu wa kambi (OC) ni dogo yani ni msela tu kwahyo ukienda kushtak wanalindana.Napata uvivu kuandika ila nina visa vingi vya hawa jamaa.
 

Muweleshe huyo kijana aelewe tunavyo ishi sisi.
 
Muweleshe huyo kijana aelewe tunavyo ishi sisi.
Itakuwa kama kumpigia mbuzi gitaa,maana wengine wanapenda sana kuishi maisha ya kwenye filamu tu. Mtu anamuona kwenye movie commando,nae anaenda kutunisha misuri na kuwavuruga raia. Watajua wenyewe
 
Hapa ndipo tulipofika. Raia badala ya kuhimiza mabadiliko ili kuwepo na utawala wa sheria na polisi wasiwe wababe, tunahimizana tuwe ''chawa'' wa wanajeshi ili watusaidie! Ni watu raia wangapi watafanya urafiki na wanajeshi?
 
Ahahaaaaa

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Kapicha kidogo kakusupport uzi ,tutofautishe bakabaka na hao wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…