Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
tz hii au nchi nyingine?. kama mbunge wako tu kule jimboni kwenu anaweza kutoa order kwa askari polisi usukumiwe ndani siku mbili bila maelezo kisa tu kahisi unatembea na mchepuko wake, atashindwa mwanajeshi senior kwenda kutoa order ndg yake atolewe kituoni?.
 
tulia we pongo mjeshi akitoa boko akiingia selo anaakua mpole ila akiuziwa kesi ya kifala kama tunazouziwa sisi sijui uzururaji jua akipiga simu Moja tu tu kwa wanae vipongo lazima vijinyee

Kuna ex polis alinipa mkasa wake , kipind wapo doria za usiku wanaokota mandezi wakamzoa ba mwamba mmoja yuko na bag lake wakamtia pingu bag wakakata nalo wenyewe wakazaurura naye usiku kucha maana yeye alikua hawongei wengine wanatoa mpunga wanashushwa unapewa simu yako upigiwe ndugu zako waliweka marundo unashushwa alfajir kabak jamaa na walevi kadhaa wakapelekwa kituoni sasa kufungua bag la jamaa anakutana na gwanda zina nyota apo ndio walijua wamejipakata mkuu wa kituo ndio alikuja kuomba radhi kwa niaba ya wahuni wake, katika scenario kama hii usitegemee luten ataanza process za dhamana serikali ya mtaa akipiga simu kikosin kitakachofatia hapo ni west bank
Hawa watu wanabishana tu wamekaa kwenye masofa ndani.
 
tz hii au nchi nyingine?. kama mbunge wako tu kule jimboni kwenu anaweza kutoa order kwa askari polisi usukumiwe ndani siku mbili bila maelezo kisa tu kahisi unatembea na mchepuko wake, atashindwa mwanajeshi senior kwenda kutoa order ndg yake atolewe kituoni?.
Mtu mwenye mamlaka ya kukusukumia ndani ni DC au RC na law enforcers, Mbunge hana mamlaka ya kuliamrisha Jeshi la Polisi kukuweka ndani. Vinginenyo alalamike kama tu wananchi wengine
 
Acha utoto.

Watu wenye pesa wanaweka maskini rumande kwa ku command polisi nataka akae ndani

Hivi nyinyi mnaishi wapi kujifanya hamuoni yanayotokea?

Ukubali ukatae wapo watu wakifika stakshari wana command mtu wangu atoke na anatoka na wapo watu wanaingizwa na mtu sababu ana pesa.
 
Classmate wangu sio chini ya 10 ni masoja wana jiwe moja muhimu kujipata ili niende nao sawa.
 
Mtu mwenye mamlaka ya kukusukumia ndani ni DC au RC na law enforcers, Mbunge hana mamlaka ya kuliamrisha Jeshi la Polisi kukuweka ndani. Vinginenyo alalamike kama tu wananchi wengine
huna akili.
 
JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha
jwtz walichezea.
Screenshot_20240107-140444.jpg
 
tulia we pongo mjeshi akitoa boko akiingia selo anaakua mpole ila akiuziwa kesi ya kifala kama tunazouziwa sisi sijui uzururaji jua akipiga simu Moja tu tu kwa wanae vipongo lazima vijinyee

Kuna ex polis alinipa mkasa wake , kipind wapo doria za usiku wanaokota mandezi wakamzoa ba mwamba mmoja yuko na bag lake wakamtia pingu bag wakakata nalo wenyewe wakazaurura naye usiku kucha maana yeye alikua hawongei wengine wanatoa mpunga wanashushwa unapewa simu yako upigiwe ndugu zako waliweka marundo unashushwa alfajir kabak jamaa na walevi kadhaa wakapelekwa kituoni sasa kufungua bag la jamaa anakutana na gwanda zina nyota apo ndio walijua wamejipakata mkuu wa kituo ndio alikuja kuomba radhi kwa niaba ya wahuni wake, katika scenario kama hii usitegemee luten ataanza process za dhamana serikali ya mtaa akipiga simu kikosin kitakachofatia hapo ni west bank
Kitu usichojua siku zote kwenye makosa madogo madogo polisi na jwtz hubebana na hii hutokana na lengo la kujenga uhusiano mzuri maana vyombo hivi mara kadhaa hufanya joint work/operation.Hakuna polisi anayepelekeshwa katika majukumu yake hizo stori zako za uongo peleka kijijini kwenu ukawadanganye.

Halafu mwandiko wako kama askari wa zima moto hivi.[emoji23]
 
m

mimi ni raia niliewah kuonewa ndio maana nafurah kamanda wanavyowapasuaga mkiingia anga zao
 
Naunga mkono hoja,baba baka watu fresh sana sema tu raia nao wanazingua.Mimi nimeishi sana kambini kutokana na kwamba ilikuwa nyuma yetu kidogo
 
Back
Top Bottom