Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Ligi kuu nchini Tanzania inatarajiwa kutimua vumbi mwezi september ambapo atakuwa anatafutwa bingwa mpya ya NBC premire league kabla ya ligi kuanza nimeona isiwe na shaka nije na moja ya top four yangu kabla ya ligi kuanza kutimua vumbi ..licha ya hivyo hii pia nimetabiri top four kwa baadhi ya ligi barani ulaya
Kwa Tanzania hii ndio top four yangu ambayo naona
Kwa Tanzania hii ndio top four yangu ambayo naona
- 01.Yanga
- 02.Simba
- 03 .Azam
- 04.Singida black stars
- 01.Manchester city
- 02.liverpoool
- 03.Aresenal
- 04.Chelsea
- Barcelona
- Real madrid
- Atletico Madrid
- 01 .Napoli
- 02 .Inter Millan
- 03 .AC Millan
- 04 .Juventus
- 01.Bayern Munchen
- 02.Borrusia Dortmund
- RB Leipzig
- Bayer 04 Leverkusen