Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmepatiaRaja 3 simba 1
Kidogo kabla ya kufunga uzi;Nichukue nafasi hii kuwashukuru wadau wote wa michezo mliochangia mwenye huu uzi. Kama mnavyo ona hapo juu; washindi wetu wamepatikana. Na naomba kuhiyimisha kwa kusema; thread closed [emoji3578]
Kwani si tulikubaliana kwa kauli moja ya kwamba simba ni timu kubwa! Sasa kulikuwa na shida gani pale tulipoweka huu uzi!! Maana ilikuwa inakutana na timu kubwa nyingine Barani Afrika.Kidogo kabla ya kufunga uzi;
Napenda sana kufahamu malengo hasa tena yale ya ndani kabisa ya kuanzishwa huu uzi yalikuwa yapi?
Vipers au?Hao hao ambao wanakunyanyasa kila siku