Nichukue nafasi hii kuwashukuru wadau wote wa michezo mliochangia mwenye huu uzi. Kama mnavyo ona hapo juu; washindi wetu wamepatikana. Na naomba kuhiyimisha kwa kusema; thread closed βοΈ
Nichukue nafasi hii kuwashukuru wadau wote wa michezo mliochangia mwenye huu uzi. Kama mnavyo ona hapo juu; washindi wetu wamepatikana. Na naomba kuhiyimisha kwa kusema; thread closed [emoji3578]
Kwani si tulikubaliana kwa kauli moja ya kwamba simba ni timu kubwa! Sasa kulikuwa na shida gani pale tulipoweka huu uzi!! Maana ilikuwa inakutana na timu kubwa nyingine Barani Afrika.