Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kesho ndo kesho asemaye Leo ni mwongo,
Hapo kesho ndaani ya dimba la Stade de TP Mazembe linaenda kupigwa mbugi la karne huku miamba ya Tanzania iliyoshindikanika Kwa mpira,fedha na kamati za ufundi wanaenda kukiwasha hapo kesho
Kwa za chini chini nilizopenyewe na rafiki pale Lubumbashi Le Preprofesseur Jean-Paul Marc kuwa Les Corbeaux wanaomba mechi ihairishwe kwani wanakhofia kipigo kitakatifu zaidi kile alichopata mtoto wetu mtukutu tuliyemzaa wenyewe usiku huu pale Uarabuni maana nasikia kama isingekuwa swaumu na huruma ya mwezi mtukufu wa Ramadhani walikuwa wamepanga kuwapiga wiki jumlisha siku moja
Wakuu karibu I muweke utabiri wenu
NB:
Kwa sababu za kiplomasia na kiundugu kati yetu na Kongo nawaomba wananchi wasifunge magoli mengi sana
Nadhani tukiwafunga 3-1 zinawatosha
Ebu tupia na wewe utabiri wako hapo chini