Weka utabiri wako kuelekea mbugi la karne kati ya TP Mazembe vs Dar es Salaam Young Africans hapo kesho

Hii nchi bhana...

Eti mabingwa wa nchi wanaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Maluza

Afu wasio mabingwa wanaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Mabingwa....

RIP Meko....
Kama umeumia, kuwa na wewe Bingwa basi kama ni rahisi kiasi hicho na hao wachezaji wenu wazee.
 
Kesho ndo kesho asemaye Leo ni mwongo,

Hapo kesho ndaani ya dimba la Stade de TP Mazembe linaenda kupigwa mbugi la karne huku miamba ya Tanzania iliyoshindikanika Kwa mpira,fedha na kamati za ufundi wanaenda kukiwasha hapo kesho

Kwa za chini chini nilizopenyewe na rafiki pale Lubumbashi Le Preprofesseur Jean-Paul Marc kuwa Les Corbeaux wanaomba mechi ihairishwe kwani wanakhofia kipigo kitakatifu zaidi kile alichopata mtoto wetu mtukutu tuliyemzaa wenyewe usiku huu pale Uarabuni maana nasikia kama isingekuwa swaumu na huruma ya mwezi mtukufu wa Ramadhani walikuwa wamepanga kuwapiga wiki jumlisha siku moja

Wakuu karibu I muweke utabiri wenu

NB:
Kwa sababu za kiplomasia na kiundugu kati yetu na Kongo nawaomba wananchi wasifunge magoli mengi sana

Nadhani tukiwafunga 3-1 zinawatosha

Ebu tupia na wewe utabiri wako hapo chini
Tupa Wazembe,tunawapiga kama ngoma kama kawaida yetu,kama tumewakalisha waarabu,tuwaache Wazembeee😂
 
Kesho ndo kesho asemaye Leo ni mwongo,

Hapo kesho ndaani ya dimba la Stade de TP Mazembe linaenda kupigwa mbugi la karne huku miamba ya Tanzania iliyoshindikanika Kwa mpira,fedha na kamati za ufundi wanaenda kukiwasha hapo kesho

Kwa za chini chini nilizopenyewe na rafiki pale Lubumbashi Le Preprofesseur Jean-Paul Marc kuwa Les Corbeaux wanaomba mechi ihairishwe kwani wanakhofia kipigo kitakatifu zaidi kile alichopata mtoto wetu mtukutu tuliyemzaa wenyewe usiku huu pale Uarabuni maana nasikia kama isingekuwa swaumu na huruma ya mwezi mtukufu wa Ramadhani walikuwa wamepanga kuwapiga wiki jumlisha siku moja

Wakuu karibu I muweke utabiri wenu

NB:
Kwa sababu za kiplomasia na kiundugu kati yetu na Kongo nawaomba wananchi wasifunge magoli mengi sana

Nadhani tukiwafunga 3-1 zinawatosha

Ebu tupia na wewe utabiri wako hapo chini
mazembe atakula 4-2
 
Back
Top Bottom