Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ubora wa ile kazi ni changamotoMiundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi.
Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata waarabu wa dubaiView attachment 2683518
Hawezi kukuelewa huyoUbora wa ile kazi ni changamoto
kamfuate kuzimu we kenge. Unatuleta habari za mfu sisi ni wafu? Alijenga ikulu akiwa kaburini? Mbona uko zuzu hivyo? Ikulu imejengwa na watanzania yeye alianzisha ujenzi km kiongozi wa serikali, kiongozi alifuatia ndio ali-play nafasi kubwa sana kuijenga.Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi.
Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata waarabu wa dubaiView attachment 2683518
Wazo lake sio baya. Serikali inaweza kuijengea uwezo jkt kidogokidogo ili ifike wakati waweze kufanya miradi mikubwa mchini kwa maslahi ya Taifa. Mataifa makubwa kama Marekani na China project nyingi kubwa zinaendeshwa na Jeshi kwa muavuli wa kampuni za kiraia, na hata zingine zimeshava mipaka. Hata Egypt kuna miradi mikibwa sana nilishangaa kuambiwa ni ya jeshi.Aisee we ni lofa sijapata kuona unadhani kuiboresha hiyo bandari ni sawa na kujenga madarasa ya uviko? Eti ingeendelezwa na JKT
Ndo tatizo la wachunga ng'ombe.Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi.
Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata waarabu wa dubaiView attachment 2683518
Upuuzi,Bandarini hapo si alijaza wanajeshi na ma Tiss wake lakini upigaji ukawa kama Kawa?Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi.
Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata waarabu wa dubaiView attachment 2683518