Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mifuko inatobokaaaaWanaume mnafaidi.
Dhubutu yako,Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa.
Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana.
Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo ni chaguo lako, muhimu tu, usitamani vya kwetu.
Mimi Equation x naanza kwa kuweka kifaa changu hapa, kwa wale ambao hawana wapenzi, wajue kazi ya mikono ni kushika jembe na kulima, na si kushika sabuni na kufua nguo tu.
View attachment 3288803
Kuleni kwa macho tu, tupo hapa kwenye viti virefu tunangojea mwana nguruwe amalizwe kuchomwa.Dhubutu yako,
labda ufe ukafufukie Rwanda.
Alafu kuna wachache wanaleft grupWanaume mnafaidi.
Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa.
Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana.
Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo ni chaguo lako, muhimu tu, usitamani vya kwetu.
Mimi Equation x naanza kwa kuweka kifaa changu hapa, kwa wale ambao hawana wapenzi, wajue kazi ya mikono ni kushika jembe na kulima, na si kushika sabuni na kufua nguo tu.
View attachment 3288803
Kama huyu umweke dogi kimbiza mwenge vuta shavu piga denda la karne
๐๐๐๐Leo ndio Ile siku ya kuhonga abaya la laki 3Wanaume mnafaidi.
Eid mubarak enzo akee!๐๐๐๐Leo ndio Ile siku ya kuhonga abaya la laki 3
Unanyonya na pale kifuani Kabisa ๐Kama huyu umweke dogi kimbiza mwenge vuta shavu piga denda la karne
We ni msagaji eeh, unaezaje taman chakula ya Wanaume?Wanaume mnafaidi.
Njoo hapa kigamboni Kuna abaya lako na milioni 30 za kwenda Zanzibar ukatalii๐๐Eid mubarak enzo akee!
Naomba biryani
Kwa fix tu๐Njoo hapa kigamboni Kuna abaya lako na milioni 30 za kwenda Zanzibar ukatalii๐๐
Priority ni lipsUnanyonya na pale kifuani Kabisa ๐