Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out'

Wekeni picha za wapenzi wenu hapa, mtakao toka nao leo 'out' kutokana na kusherehekea hii sikukuu, tuone kama wana vigezo au laa.

Tunajua ni chaguo lako, awe ni mrefu, mfupi, mnene, mwembamba n.k; lakini ni muhimu pia kupongezana.

Ata kama anaonekana kama mzazi wako, na ana makunyanzi; huyo ni chaguo lako, muhimu tu, usitamani vya kwetu.

Mimi Equation x naanza kwa kuweka kifaa changu hapa, kwa wale ambao hawana wapenzi, wajue kazi ya mikono ni kushika jembe na kulima, na si kushika sabuni na kufua nguo tu.

View attachment 3288803​
Ila kuna watu wanakojoa pazuri aisee
 
Ila kupiga ni noma
Unapiga simu
Unapiga picha
Unapiga kura
Unapiga magoti
Unapiga hodi
Unapiga kelele
Unapiga nyeto
Unapiga shuti
 
Back
Top Bottom