Wekeni picha.

Wekeni picha.

KWANINI WANAWAKE WENGI WANAOTAFUTA WACHUMBA JAMII FORUM HAWAWEKI PICHA ZAO?
Wanajua uchumba ni kama kupeleka vyeti na kufanyiwa usaili bila kujua physical appearance inaongea kwa sauti kuliko vyeti kweny uchumba
 
Weka yako tukuone kwanza..
Kwa kuwa sitafuti na ndio maana siweki,anaetafuta na aweke atakaempenda atamfata inbox haina usumbufu hiyo..humu kuna kila mtu na mapenzi ya aina yake.hawezi kukosa naamini hivyo.

Haweki ana shida huyo.
 
Vitendo vina utaratibu wake,wewe ulivyochumbia ulianza kumuona au ulioa bila kumuona!!
 
Back
Top Bottom