Wekeni picha.

Unajua katika sisi binadamu kati ya wanaume na nwanamke tumegawana ladha.

Mwanaume ladha yake ni kuona akapenda

Mwanamke ni kusikia maneno...nadhani ushawishi wa haraka na uhakika ungepatikana kwa mwanaume baada ya kumuona na akashawishika..

Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa Private Message...

Akikukubali atakutumia hizo picha...


Cc: mahondaw
 
Alafu hata mkianza kuchat private wanaomba picha kwanza kabla ya maongezi , tena wao hawatoei zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…