Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Going forward you better not complain about any mwanasiasa....
Basi hata wewe unapiga kasia kwenye nchi kavu..What are doing hapa JF..you might as well ishia kwa michuzi kuanangalia picha...
What do you mean by "kazi ya kitaalauma"...hawa ni watu ambao kwa kura yako unawapa ajira....kama wewe ni muajiri kwa nini usijue resume ya mtu.
Kwa staili hiyo ni ngumu kuendelea.
Politks ni kazi inayoendana na cv, otherwise tutabaki kama tulivyo. Politks si uwezo wa kupiga propaganda.Politks ni uwezo wa kubuni, kuuwezesha ubunifu na hatimaye kuupitisha ktk nyoyo za wananchi.Hivyo kazi hii inahitaji kwenda sambamba na cv.
MkapaP,
Embu elimisha hawa wenye mawazo mgando maana hawaeleni nini maana ya cv na umuhimu wake....
kuna mtu ana CV nzuri kama ya Chenge? CV ya Kikwete inakubalika, na sawasawa na ya Marmo.. kwa vile mnataka kupiga pita kwa kuangalia uzuri na kilichojazwa kwenye CV muangalie sana mnaweza kujikuta mnachagua Wanigeria!
Naona wananchi wanataka kufanya 'vetting' kupitia CV. Ushauri wa bure: tuwapime kupitia matendo yao na uzalendo wao kwa nchi hii na hasa katika miaka 5 iliyopita.
toa boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako!! na hiyo CV yako tunaitaka ili tujue huyo mpembuzi yakinifu ana uwezo gani!!!Tunahitaji kuweka CVs(resumes) za January Makamba,Lazaro Nyalandu,Zitto Kabwe na vijana wengine wote watakao kuwa wanagombania public office ili tufanye upembuzi yakinifu..na kuwaeleza nini tunahitaji toka kwao....
Cv zao ndo zisaidie nini?Mi namshangaa ati..
Kaa ananafasi ya kazi ya kitaalauma anataka kuwapa awatafute huko kwa muda wake wampe hizo CV, otherwise hapa anachofanya ni kupiga kasia kwenye nchi kavu.
I actually, siezi ku-complain kuhusu wanasiasa, najua wengi wao ni waganga njaa au wajasiriamali. Watu kaa wewe mnaowatumainia wanasiasa ndio wa kubeba lawama..
Nimeona hapo kuna thread inasema mgombea urais asitumie zaidi ya bilioni 1. Nimesikia hata uvivu kufungua kuona yaliyomo. Hivi ktk hali ya kawaida mtu ata-splash 1 billion Tsh bila kula faida huko mbeleni?
Sounds like sizitaki mbichi hizi.....
Kaka umewahi kufanya utafiti kuhusu gharama za kufanya shughuli za uchaguzi pamoja na kampeni? Yaani utafiti wagharama halali kabisa bila ya rushwa ama takrima? Kama tumekubali demokrasia ya ushindani (wanaita demokrasia ya vyama vingi) ni lazima uwe tayari kugharamia mahitaji yanayotokana nayo. Kulalama kuwa shilingi bilioni moja ni kiwango kikubwa kwa kampeni ya urais kunaonyesha jinsi gani watanzania wasivyokuwa na imani na viongozi wao, wanasiasa, asasi za uongozi na utawala na hata wao wenyewe. Na hali kama hii ni sumu kubwa kuliko hata sumu inayosambazwa na ufisadi, udini, ukabila, umasikini,ujinga na hata magonjwa......
omarilyas
kuna mtu ana CV nzuri kama ya Chenge? CV ya Kikwete inakubalika, na sawasawa na ya Marmo.. kwa vile mnataka kupiga pita kwa kuangalia uzuri na kilichojazwa kwenye CV muangalie sana mnaweza kujikuta mnachagua Wanigeria!
Mwanasiasa halisi(i mean halisi) haangalii faida ya pesa kurudi mfukoni mwake anaagalia maendeleo ya wananchi wake kama barabara, hospitali, shule nkhivi ni wapi nimelalama kuhusu hizo 1 bilioni? hoja yangu haiko kwenye gharama per se...ipo kwenye dhana nzima ya siasa na chaguzi. najaribu kubainisha kichwani kwangu hii inaezekanaje mtu aingie gharama lukuki bila ya kuwa na prospects za kurudisha fedha zake huko mbeleni. for what really? a matter of simple maths.
Mwanasiasa halisi(i mean halisi) haangalii faida ya pesa kurudi mfukoni mwake anaagalia maendeleo ya wananchi wake kama barabara, hospitali, shule nk