Mkuu yawezekana uko sahihi.
Lakini mimi nijuavyo CV inaendana nini ulichokifanya huko, kuhusu pages sina uhakika mie ninavyofahamu inatokana na elimu yako iko propotional na page za cv vivyo hivyo kwa mda wa kazi.
Nafikiri wanaondika page mbili ni watu wa vidato na wanaomaliza digrii ya awali.
Hebu chungulia cv ya huyu jamaa, japo sio sample nafikiri ndo hali halisi.
Hao unaosema wanachoka kusoma page kadhaa za cv, ni wavivu na huu ni uvivu wetu waafrika na ndio maana nafikiri na ndio maana tunapata wafanyakazi feki.
Unapoweka nini unakijuwa ktk cv na mafanikio ndio unampa mwajiri picha halisi na yeye kupata fursa kukuliza maswali kulingana na cv yako, hapo ndio atajuwa umedanganya ama la.
cheki hiyo attachment. japo nasisitiza sio sample lakini nafikiri ndivyo inatakiwa kuwa.