Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Nitakuja kuwapa support kwa niaba ya MUCCoBS
hahaha.. kumbe..Mpigamsuli ni wa muccobs.
nitakuja kwa niaba ya UDSM
Sidhani....lakini anakaribishwa tu.
Nitarishie binti mrembo nimbambie
wapo wengi sana,ni struggling na efforts zako tu.
wapo wengi sana,ni struggling na efforts zako tu.
Nitakuja kuwapa support kwa niaba ya MUCCoBS
Mtakesha mpaka asubuhi?
Mtakesha mpaka asubuhi?
kwa niaba ya SAUT sitakosa.natawakilisha mapadre wote
umejipanga kimavaz kwanza au unafkir utawapata watoto ukiwa kama mkulima
nipe Dress code.. maana nasikia mnavaa kama watoto wa Pope.. yaani Bwanga.. oversize ful Kikatekista na kipadree..