Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Heshima kwenu wana JF,
Ni siku nyingine tena tumekutana hapa jukwaani wanabodi wenzangu.
Leo tarehe 25/10/2013 tunapenda kuwakaribisha wanachuo wenzetu wa MWUCE katika hafla ya kuwakaribisha freshers wote wa 2013/2014 pale Aventure Clubs Moshi kuanzia saa moja kamili jioni.
:welcome::welcome::welcome:
Nyote mnakaribishwa.
With regards.