I would bet you are mistaken!!
Kwani kujua kiingereza kwa ufasaha ndio kipimo cha ubora wa elimu?, au kiingereza ndio elimu?
Hicho chuo ni cha Engineering, hakuna masomo ya lugha pale, unategemea wajue kiingereza kwa ufasaha?
Kama walimu wao wanawafundisha kwa lugha ya kingereza, kuna umuhimu wanafunzi kukijua kingereza kwa ufasaha ili waweze kuelewa yale wanayofundishwa!!