Welcome to Mbeya University of Science and Technology

I would bet you are mistaken!!

Kwani kujua kiingereza kwa ufasaha ndio kipimo cha ubora wa elimu?, au kiingereza ndio elimu?
Hicho chuo ni cha Engineering, hakuna masomo ya lugha pale, unategemea wajue kiingereza kwa ufasaha?

Kama walimu wao wanawafundisha kwa lugha ya kingereza, kuna umuhimu wanafunzi kukijua kingereza kwa ufasaha ili waweze kuelewa yale wanayofundishwa!!
 
Kiingereza Si kipimo cha ubora wa elimu

lakini hata hivyo kama ndo lugha ya kufundishia ni better kukifahamu hata hvyo hakuna mwenye haki ya kumjosoa mswahil mwenzake kutojua kiingereza kwa ufasaha maana hata waingereza hawajui kiswahili kwa ufasaha

tuache ushamba
 
Kama walimu wao wanawafundisha kwa lugha ya kingereza, kuna umuhimu wanafunzi kukijua kingereza kwa ufasaha ili waweze kuelewa yale wanayofundishwa!!
Ni muhimu kukijua kiingereza, ila sio muhimu kukijua kwa ufasaha.

Pale wanafundishwa communication skills, kiingereza ni sehemu ndogo tu ya communication skills, hawafundishwi kiingereza kama somo, japo medium of intructiins ni kwa kiingereza.

Kwa hiyo unaposema kukijua kwa ufasaha, unataka wawe wabobevu wa kiingereza kama lugha, wazame katika grammar, syntax, tenses, semmantics na vitu kama phonology nakadhalika, vitu ambavyo havina msaada katika kutengeneza bolt kwenye lathe machine, kutrouble shoot boiler wala haina msaada kwenye kucalculate Entropy na Enthalpy za ranken circles, Sijui unanielewa vizuri?!!
 
wabongo kwa unafki .... yeye kuongea kiingereza kosa likowapi. Mbaaavvvvvvv
 
Ni muhimu kukijua kiingereza, ila sio muhimu kukijua kwa ufasaha.

Pale wanafundishwa communication skills, kiingereza ni sehemu ndogo tu ya communication skills, hawafundishwi kiingereza kama somo, japo medium of intructiins ni kwa kiingereza.

Kwa hiyo unaposema kukijua kwa ufasaha, unataka wawe wabobevu wa kiingereza kama lugha, wazame katika grammar, syntax, tenses, semmantics na vitu kama phonology nakadhalika, vitu ambavyo havina msaada katika kutengeneza bolt kwenye lathe machine, kutrouble shoot boiler wala haina msaada kwenye kucalculate Entropy na Enthalpy za ranken circles, Sijui unanielewa vizuri?!!

Itawasaidia katika kazi zao kama watajua english grammar, tenses na syntax kwa ufasaha.

Katika kazi zao watahitajika kuandika reports au mabandiko kama huu uzi ulivyobandikwa hivyo hayo niliyoainisha hapo ni muhimu ili kufikisha ujumbe unaoeleweka!!!
 
Back
Top Bottom