Welcome to the World of Philosophical Quotes (Misemo ya Kifalsafa)

Screenshot_20230120-220153_1.jpg
 
I need a little clarification Fella'
The problems that you have should your be your ladder to your salvation,your problems should be your inspiration and not your heartbreaker

Ni kama yule punda aliyetakwa kuzikwa akiwa hai na mmilki wake kwa sababu ya uzee

Yule punda siku anazikwa mzima,ule mchanga wakati unamwangukia kaburini hakuuona kama tatizo

Kwani Kila Koreo la mchanga lilipomfikia mgongoni punda alitikisika na kumwaga chini

Hivyo mpaka alivyoibuka juu
 
Thanks for the nice clarification Sir🙏
 
Wapuuzi hutapeliwa na wanaojifanya ni freemason. Wanadhani freemason ni vigagula fulani hivi kama waganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom