Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
[emoji28][emoji28][emoji28]Hio D.O ndio nini ? Unatuumiza ubongo
Ufafanuzi mkuu😁😁Ya kwangu hii
"Njiaya chooni haioti nyasi"
Inafanana na ya mhenga Mzee wetu Reginald Mengi...
Nimekisoma pia ila nataka kukirudia, kitabu kizuri sanaHiki kitabu nimekisoma kama mara mbili ila nataka niendelee kukisoma zaidi,na nataka niwafundishe wanangu nondo za hiki kitabu.
Mitabu gani besty na mie nile nondoNimekisoma pia ila nataka kukirudia, kitabu kizuri sana
Kinaitwa The secret, daily teachings.Mitabu gani besty na mie nile nondo
safi hii sio kila leo tunapeana dhambi tuu. thanksKinaitwa The secret, daily teachings.