Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
usiseme hivyo basi na wengine wa kibaha tukisema necta haiko fair kwa kuwa kibaha ina one nyingi zaidi ya shule zote(vipaji) japo imepigwa hadi number 9 ni sahihi...mie nadhani na idadi ya wanafunzi inachangia
bravo umenye kids...
Bravo MZUMBE
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Vipaji wamepataje 4 na 0 asee?
Wamenye wa umenyeni...
Trip za enaboishu zilipungua this time.